KLABU ya soka ya Ushirika veterani moshi iko kwenye maandalizi ya safari yao
ya kuelekea Mombasa nchini Kenya kwa ajili ya michezo miwili ya
kirafiki itakayofanyika Septemba 8 na 9 mwaka huu katika uwanja wa
Bandari.
zaidi soma fullshangwe.blogspot.com
Post a Comment